Msimamo wa Makundi Kombe la Dunia 2026/FIFA table 2026
Kombe la Dunia la FIFA 2026, linaloandaliwa kwa pamoja na Marekani, Kanada na Mexico, limeanza rasmi mnamo Juni 11, 2026. Hii ni toleo la kwanza la michuano hii yenye timu 48, na makundi 12 (A hadi L), kila kundi likiwa na timu nne. Timu zinazoshiriki zinapambana ili kufuzu kwa hatua ya mtoano (Round of 32)….