๐ŸŒธ Dalili za Ovulation kwa Mwanamke (Jinsi ya Kujua Siku za Kushika Mimba)

Ovulation ni kipindi muhimu sana katika mzunguko wa mwanamke.๐Ÿ‘‰ Hii ndiyo siku ambayo yai hutolewa na kuwa tayari kurutubishwa. Kama unataka kushika mimba, kuelewa ovulation ni โ€œgame changer.โ€ ๐Ÿ—“๏ธ 1. Mabadiliko ya Uchafu Ukeni Moja ya dalili za wazi kabisa. Unachokiona: Uchafu mweupe, mwepesi na unaovutika kama yai bichi Haukauki haraka ๐Ÿ‘‰ Hii inaonyesha mwili…

Read More