Mshahara wa nurse mwenye degree
Mshahara wa Nurse Mwenye Degree (Bachelor of Science in Nursing) nchini Tanzania Nurse mwenye shahada ya kwanza (BSc Nursing au Degree in Nursing) ni miongoni mwa wataalamu muhimu katika sekta ya afya. Wanaitwa Nursing Officer au Afisa Muuguzi Daraja la II serikalini. Wao hutoa huduma za uuguzi za kiwango cha juu, kusimamia wauguzi wengine, kukusanya…