Msimamo wa ligi kuu Tanzania 2025/26
Ligi Kuu Tanzania, inayojulikana rasmi kama NBC Premier League au Ligi Kuu Bara, ni ligi ya juu kabisa ya soka nchini Tanzania. Ni moja ya ligi zinazovutia zaidi Afrika Mashariki, ikishirikisha timu 16 bora zinazopambana kwa taji la ubingwa, nafasi za michuano ya kimataifa (kama CAF Champions League na Confederation Cup), na kuepuka kushuka daraja….