Mtoto wa kiume anakaa upande gani tumboni
Mtoto wa Kiume Anakaa Upande Gani Tumboni? – Ukweli wa Kisayansi na Hadithi za Kienyeji Wanawake wengi wanaoujauzito huwa na hamu ya kujua jinsia ya mtoto mapema, na mara nyingi huuliza swali hili: “Mtoto wa kiume anakaa upande gani tumboni?” Katika jamii nyingi, ikiwemo Tanzania, kuna hadithi na dalili za kienyeji zinazodai kuashiria jinsia ya…