Je, Punyeto Inaharibu Au Inasaidia? Ukweli Uliofichwa
Punyeto ni nini? Hadithi na Ukweli (Myths vs Facts) Punyeto, au masturbation kwa Kiingereza, ni moja ya mada ambazo watu wengi hujaribu kuepuka kuizungumzia hadharani. Lakini ukweli ni kwamba ni tabia ya kawaida sana miongoni mwa binadamu – vijana, wazee, wanaume na wanawake. Makala hii inakuletea maelezo wazi, ya kisayansi na bila aibu kuhusu punyeto…