Nchi 20 tajiri afrika 2026 location
chi 20 Tajiri zaidi Afrika Mwaka 2026 (Kulingana na GDP Nominal) Afrika Kusini (South Africa) – $443.64 bilioni Inabaki kuwa uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Inategemea sekta ya fedha, madini (dhahabu, platinamu), viwanda na huduma. Johannesburg ni kitovu cha kifedha barani. Misri (Egypt) – $399.51 bilioni Uchumi wake unategemea Mfereji wa Suez, utalii, viwanda na…