Matokeo ya kidato cha Nne 2025/2026

Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE 2025) tarehe 31 Januari 2026. Mtihani huu ulifanyika kuanzia Novemba 17, 2025, na matokeo yameonyesha uboreshaji mkubwa katika ufaulu wa taifa kwa ujumla, ingawa bado kuna changamoto katika masomo kadhaa kama Hisabati. Hii hapa ni makala kamili yenye…

Read More