Utajiri wa Diamond Platnumz na biashara Zinazomfanya Awe Tajiri:(2026)
Diamond Platnumz (Naseeb Abdul Juma Issack) si msanii wa Bongo Flava tu, bali ni mfanyabiashara mwenye akili ambaye amegeuza umaarufu wake kuwa empire kubwa inayompa mapato thabiti na ya muda mrefu. Net worth yake inakadiriwa kuwa kati ya $10 milioni hadi $15 milioni (karibu TSh bilioni 25–38), na yeye ndiye msanii tajiri zaidi Tanzania na…