Jinsi ya kuona jezi ya simba bandia kwa Urahisi: Mwongozo Kamili wa Scan Code, Nembo, Ubora na Mahali pa Kununuwa Asili 2026
Jinsi ya Kutambua Jezi ya Simba Bandia: Mwongozo Kamili kwa Wanasimba Jezi ya Simba SC si tu nguo. Ni alama ya kiburi, historia na “Nguvu Moja”. Lakini sokoni leo kuna mafuriko ya jezi bandia zinazouza bei ya chini, ubora duni, na zinazoumiza klabu pamoja na wadhamini wake. Simba SC na JayRutty wamezindua kampeni kubwa ya…