Orodha ya Vitu Vilivyokatazwa JKT – Mwongozo Kamili kwa Wahitimu wa Form Six

Orodha ya Vitu Vilivyokatazwa JKT – Mwongozo Kamili kwa Wahitimu wa Form Six Wahitimu wengi wa kidato cha sita wanaojiandaa kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) hujikita zaidi kwenye vitu vya kubeba bila kujua pia kuna vitu ambavyo vimekatazwa kabisa kambini. Kutojua sheria hizi kunaweza kusababisha matatizo makubwa kama kuondolewa vifaa, kuadhibiwa, au kucheleweshwa…

Read More