Mshahara wa diploma ya pharmacy
Mshahara wa Stashahada (Diploma) ya Pharmacy Mwaka 2026 nchini Tanzania Stashahada ya Pharmacy (au Ordinary Diploma in Pharmaceutical Sciences – NTA Level 6) ni moja ya kozi maarufu katika sekta ya afya. Wahitimu wake hufanya kazi kama Pharmaceutical Technician, Pharmacy Technician au Msaidizi wa Mfamasia (Assistant Pharmacist). Wana jukumu la kutoa dawa, kushauri wagonjwa, kusimamia…