Magroup ya Kazi kwenye WhatsApp – Faida, Hasara na Vidokezo Muhimu
Katika enzi ya kidijitali, WhatsApp imekuwa mojawapo ya zana muhimu zaidi za mawasiliano katika maeneo ya kazi. Magroup ya kazi (Work Groups) yanatumika sana na kampuni, mashirika, timu za mradi, shule, na hata wafanyabiashara wadogo ili kuwezesha mawasiliano ya haraka na bora. Lakini je, magroup haya yanachangia vipi katika uzalishaji na nini hatari zake? Soma…