Sababu za Uke Kujamba na Jinsi ya Kukabiliana Nayo

Uke kujamba, au kutoa sauti kama ya kujamba kutoka ukeni, ni jambo la kawaida kabisa kwa wanawake wengi. Katika lugha ya kimatibabu, inaitwa queefing au vaginal gas. Hii si sawa na kujamba kutoka tumboni (ambapo gesi hutoka kwenye matumbo), bali ni hewa iliyokwama ndani ya uke na kutoka nje ikitoa sauti. Hewa hii haina harufu…

Read More