Sifa za kujiunga na chuo cha mipango mwanza

Sifa za Kujiunga na Chuo cha Mipango Mwanza (IRDP Lake Zone Training Centre) Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (Institute of Rural Development Planning – IRDP) kina kituo cha Mkoa wa Ziwa (Lake Zone Training Centre) kilichopo Mwanza. Kituo hiki kinatoa mafunzo ya ngazi mbalimbali katika mipango ya maendeleo, hasa yanayohusiana na maendeleo ya vijijini,…

Read More