Mchezaji tajiri duniani 2026
Mchezaji Tajiri Zaidi Duniani – Faiq Bolkiah Katika ulimwengu wa soka, tunapozungumzia utajiri, mara nyingi akili yetu inamwendea moja kwa moja Cristiano Ronaldo au Lionel Messi, wachezaji ambao wamejenga utajiri mkubwa kupitia mishahara mikubwa, mikataba ya udhamini na Biashara za kibinafsi. Lakini leo, mchezaji tajiri zaidi duniani kwa mujibu wa makadirio ya hivi karibuni (2025/2026)…