Ripoti ya Jaji Chande Aprili 23 2026: Vifo 518, Picha za AI na Mizizi ya Vurugu za Baada ya Uchaguzi Mkuu 2025

Leo, Alhamisi tarehe 23 Aprili 2026, Mwenyekiti wa Tume ya Rais, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, amewasilisha ripoti ya mwisho ya tume yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan katika Ikulu, Dar es Salaam. Hii ni hatua muhimu baada ya uchunguzi wa miezi mitano na siku 153, ikijumuisha nyongeza mbili za muda. Ripoti hii inahusu…

Read More