jinsi ya kujaza selform upya mtandaoni 2026
Jinsi ya Kujaza Selform Upya Mtandaoni kwa Mwaka 2026 Selform ni mfumo wa mtandaoni (Selform MIS) unaosimamiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI). Mfumo huu unaruhusu wahitimu wa kidato cha nne (Form Four) kubadilisha taarifa zao binafsi, kuchagua au kubadilisha tahasusi (combinations) kama PCM, PCB, HGK n.k.,…