Shule kumi bora matokeo ya darasa la saba 2026

Shule Kumi Bora Kitaifa Matokeo ya Darasa la Saba 2026 Tanzania Mtihani wa Darasa la Saba (PSLE – Primary School Leaving Examination) kwa mwaka 2026 umekwisha kutolewa na Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA). Matokeo haya yanaonyesha jinsi shule mbalimbali zilizofanya vizuri katika kuwapa wanafunzi elimu bora na kuwaweka katika nafasi nzuri ya kujiunga…

Read More