Sifa za kujiunga chuo cha ualimu patandi

Sifa za Kujiunga na Chuo cha Ualimu Patandi Chuo cha Ualimu Patandi (Patandi Teachers College) kinachojulikana pia kama Patandi Teachers’ College kipo katika eneo la Tengeru, Duluti, wilaya ya Meru mkoani Arusha. Kipo umbali wa takriban kilomita 11.5 kutoka mjini Arusha, kando ya barabara kuu ya Arusha-Moshi-Dar es Salaam. Chuo hiki ni cha serikali na…

Read More