SMS za Kuchekesha za Kuvunja Mbavu – Classics za Kudumu
Jamaa alitumwa SMS ndefu na demu wake. Kwa sababu ya urefu, ilifika ikaandika tu: “some text missing” Jamaa akafikiri ni neno la mapenzi, akajibu: “Some text missing too dear 😘” (Hii imevunja mbavu tangu 2010!) Kama hela haioti kwenye miti, kwanini benki zina matawi? Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake? Kama nothing ni bure, kwanini…