Sms za kumpandisha hisia mwanamke
Kumpandisha hisia mwanamke si kazi ya moja kwa moja kama wanaume. Wanawake wengi hupenda kujengwa polepole – mchanganyiko wa maneno matamu, hisia za kihemko, pongezi, na kuwafanya wahisi kuwa wanatamanwa kwa undani. SMS inaweza kuwa silaha yenye nguvu sana ikiwa utumia vizuri. Hapa nimeandaa SMS 12 za kumpandisha hisia mwanamke ambazo zinaweza kutumika hatua kwa…