sms za kumuomba msamaha mpenzi wako

Katika Makala hii utapata Jumbe (SmS) 50 za Kipekee za Kumuomba Msamaha Mpenzi Wako pale utakapokua umemkosea na unahitaji msamaha wa dhati kutoka kwake, tiririka sasa uweze kujipatia Sms yako. Samahani mpenzi… nilikuwa kama dereva aliyepoteza breki, nimekugonga bila kukusudia. Leo naomba nipate nafasi ya kurekebisha breki hiyo na kukuendesha polepole tena. Moyo wangu ulikuwa…

Read More