Jinsi ya Kuangalia Shule Uliyopangiwa Kidato cha Tano 2026 | Mwongozo Kamili wa Selform TAMISEMI na Joining Instructions

Shule Niliyopangiwa Kidato cha Tano 2026 – Jinsi ya Kuangalia Matokeo Yako Haraka na Rahisi Kwa wanafunzi waliomaliza Kidato cha Nne mwaka 2025, kipindi cha kusubiri shule uliyopangiwa Kidato cha Tano 2026 ni cha kusisimua na cha wasiwasi kidogo. Habari njema ni kwamba mchakato wa uchaguzi unafanywa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za…

Read More

Jinsi ya Kuangalia Shule Selection Form Five 2026/2027

Jinsi ya Kuangalia Shule Form Five Alizopangwa 2026/2027 Form Five Selection 2026/2027 inafanywa na TAMISEMI. Hapa ni mwongozo rahisi wa kuangalia shule uliyopangiwa. Tovuti Rasmi: https://selform.tamisemi.go.tz Hatua za Kuangalia Shule Yako (Step by Step): Fungua tovuti: selform.tamisemi.go.tz Chagua Selection Year (2026) Chagua Mkoa wako Chagua Wilaya uliyosomea Chagua Shule uliyosomea Form Four Ingiza Namba ya…

Read More

FORM FIVE SELECTION 2026/2027 AWAMU YA KWANZA

Form Five Selection 2026/2027 ni mchakato unaoendeshwa na TAMISEMI kwa ajili ya kuchagua wanafunzi waliofaulu Kidato cha Nne kujiunga na Kidato cha Tano au Vyuo vya Kati. Tarehe Muhimu First Selection: Imeshafanywa leo tarehe 1/6/2026 Second Selection: Inatarajiwa hivi karibuni Third Selection: Itaendelea baadaye Tovuti Rasmi: https://selform.tamisemi.go.tz Jinsi ya Kuangalia Majina (Hatua kwa Hatua) Tembelea…

Read More