Vyeo vya jeshi la uhamiaji

Jeshi la Uhamiaji Tanzania (pia linajulikana kama Idara ya Huduma za Uhamiaji au Tanzania Immigration Services Department) ni moja ya taasisi muhimu za usalama wa taifa chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Jeshi hili lina muundo wa vyeo unaofanana sana na vyombo vingine vya ulinzi kama Polisi na Magereza, lakini limeundwa mahsusi…

Read More