Sms za kuchekesha za kumtumia mpenzi

Mapenzi yanahitaji tabasamu na kicheko kidogo. Ukiweza kumfanya mpenzi wako acheke wakati unamwambia unampenda, umeshinda nusu ya vita. Hii hapa orodha ya maneno/ mistari ya kuchekesha unayoweza kutuma WhatsApp, kusema usoni, au hata kuandika kwenye kadi: “Babe, wewe si simu yangu, lakini nakutafuta kila nimekosa usingizi!” (Classic – inafanya acheke na kuelewa unamkosa sana) “Mungu…

Read More