Tanzania ina mikoa mingapi

Tanzania Ina Mikoa Mingapi? Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imegawanywa katika mikoa 31 kwa ujumla. Kati ya hiyo, mikoa 26 iko upande wa Bara (Tanganyika) na mikoa 5 iko upande wa visiwa vya Zanzibar. Idadi hii imekuwa hivyo tangu mwaka 2016, wakati Mkoa wa Songwe ulipoanzishwa kwa kugawanywa kutoka Mkoa wa Mbeya. Hakuna mabadiliko makubwa…

Read More