GHARAMA YA ADA ZA KOZI ZA VETA 2026 TANZANIA (KOZI 20+ ZIMEFAFANULIWA)
GHARAMA KAMILI ZA KOZI ZA VETA 2026 TANZANIA (KOZI 20+ ZIMEFAFANULIWA) Utangulizi Kama kuna jambo vijana wengi Tanzania wanataka kujua kabla ya kujiunga na VETA, ni hili: “gharama halisi za kozi ni kiasi gani?” Ukweli ni kwamba VETA si chuo cha bei moja. Ada zinabadilika kulingana na: Aina ya kozi (short course au long course)…