Vyakula Ambavyo Hatakiwi Kula Mtu Mwenye Vidonda vya Tumbo Ili Kupunguza Maumivu na Kiungulia
Vyakula Ambavyo Hatakiwi Kula Mtu Mwenye Vidonda vya Tumbo Vidonda vya tumbo ni tatizo la mfumo wa mmeng’enyo wa chakula linaloweza kusababisha maumivu makali tumboni, kiungulia, kichefuchefu, kujaa gesi na wakati mwingine kutapika. Ingawa matibabu ya vidonda vya tumbo yanahitaji ushauri wa daktari, aina ya chakula unachokula kila siku inaweza kusaidia kupunguza au kuongeza usumbufu….