Vyuo Vinavyotoa Kozi ya Medicine Attendant (Medical Attendant) Tanzania – Fursa ya Kazi Thabiti katika Sekta ya Afya

Picha: Muonekano wa moja ya vyuo vikuu vya afya nchini Tanzania Katika sekta ya afya nchini Tanzania, mahitaji ya wafanyakazi wenye ustadi wa kutoa huduma za msingi yanazidi kuongezeka kila siku. Kozi ya Medicine Attendant (pia inajulikana kama Medical Attendant au Orderly) ni mojawapo ya kozi muhimu zinazowapa vijana na wazee fursa ya kuingia haraka…

Read More