Vyuo vya afya dar es salaam
Dar es Salaam ni mji mkubwa zaidi Tanzania na kitovu cha elimu ya afya nchini. Mji huu una vyuo vingi vya afya (health and allied sciences colleges) vinavyotoa mafunzo ya ngazi ya certificate, diploma, na baadhi degree katika nyanja mbalimbali kama Clinical Medicine, Pharmaceutical Sciences, Medical Laboratory Sciences, Nursing, Radiography, Environmental Health na zaidi. Vyuo…