Makabila 10 makubwa tanzania
Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa kitamaduni, inayojumuisha zaidi ya makabila 120-130. Hakuna kabila moja linalotawala kabisa, kwani hata kabila kubwa zaidi linachukua asilimia 16 pekee ya wakazi wote. Makabila haya yanachangia sana katika umoja wa kitaifa, utamaduni, kilimo, biashara na maendeleo ya nchi. Hapa nimeandika makala kuhusu makabila 10 makubwa zaidi nchini Tanzania…