Wasanii matajiri Tanzania 2026
1. Diamond Platnumz – Takriban $10 milioni hadi $13 milioni Bado yeye ndiye mfalme wa utajiri katika muziki wa Bongo Flava na Afrika Mashariki kwa ujumla. Diamond amejenga empire kubwa kupitia Wasafi Classic Baby (Wasafi Media, Wasafi Bet, Wasafi Records), brand endorsements (kama Pepsi, Parimatch), maonyesho ya kimataifa, na Instagram yake yenye mamilioni ya wafuasi….