Wasanii matajiri afrika

1. Youssou N’Dour (Senegal) – Takriban $145 milioni Youssou N’Dour ni mmoja wa wasanii wa zamani zaidi na matajiri barani Afrika. Anajulikana kwa muziki wa mbalax na umaarufu wake kimataifa tangu miaka ya 1980-90. Mbali na muziki, amejenga utajiri kupitia media (radio na TV), uwekezaji na shughuli za kibiashara. Yeye ndiye anayeongoza orodha nyingi za…

Read More