πŸ‘‰ Jinsi ya Kupata Wateja wa Kwanza 10 kwa Biashara Ndogo (Hata Kama Huna Experience)

Utangulizi Changamoto kubwa kwa biashara nyingi si mtajiβ€”ni wateja wa kwanza. Watu wengi hukata tamaa mapema kwa sababu wanasubiri wateja waje wenyewe. πŸ‘‰ Ukweli:Hakuna atakayekuja kama hujitafuti. Kama bado hujaanza biashara, anza hapa:πŸ”— Biashara ndogo inayolipa kwa mtaji wa 50,000 Tsh Na epuka haya kabla hujaanza:πŸ”— Makosa 5 yanayofanya biashara ndogo ishindwe Tanzania Step 1:…

Read More