Jinsi ya Kuangalia Shule Form Five Alizopangwa 2026/2027
Form Five Selection 2026/2027 inafanywa na TAMISEMI. Hapa ni mwongozo rahisi wa kuangalia shule uliyopangiwa.
Tovuti Rasmi:
https://selform.tamisemi.go.tz
Hatua za Kuangalia Shule Yako (Step by Step):
- Fungua tovuti: selform.tamisemi.go.tz
- Chagua Selection Year (2026)
- Chagua Mkoa wako
- Chagua Wilaya uliyosomea
- Chagua Shule uliyosomea Form Four
- Ingiza Namba ya Mtihani (Index Number) yako
- Bonyeza Search au Submit
Baada ya kutafuta, utaona:
- Kama umechaguliwa au la
- Shule uliyopangiwa
- Kombinesheni (PCB, PCM, CBG, n.k.)
- Aina ya shule (Boarding au Day)
Vidokezo Muhimu:
- Tumia Index Number sahihi (mfano: SXXXX-XXXX-XXXX)
- Angalia mara kwa mara kwa sababu Second na Third Selection zinaweza kutolewa.
- Ikiwa hujachaguliwa, subiri selection inayofuata.
- Pakua Joining Instructions mara tu utakapoona umechaguliwa.
Ikiwa una tatizo la kufikia tovuti, jaribu wakati wa asubuhi au jioni wakati msongamano ni mdogo.