Kwanini Figo Zinafeli: Sababu Kuu za Kushindwa kwa Figo na Jinsi ya Kuzizuia
Figo ni miongoni mwa viungo muhimu sana mwilini. Huchuja damu, huondoa taka na maji ya ziada kupitia mkojo, na hushiriki katika kudhibiti uwiano wa maji na madini mwilini. Tatizo hutokea figo zinapoharibika na kushindwa kufanya kazi yake vizuri. Hali hii inaweza kutokea kwa muda mfupi au kuendelea taratibu kwa miaka. Ugonjwa sugu wa figo (Chronic…