Kutokwa na majipu mara kwa mara

Kutokwa na majipu mara kwa mara, kinachoitwa recurrent furunculosis kwa Kiingereza, ni hali ambapo mtu hupata majipu (boils au furuncles) yanayorudi-rudi katika sehemu moja au sehemu mbalimbali za mwili. Jipu moja ni uvimbe wenye uchungu unaojazwa na usaha (pus) kutokana na maambukizi ya kina ya follicle ya nywele. Wakati majipu mengi yanapoungana, yanaitwa carbuncle. Hali…

Read More

Jipu la kwapa

Jipu la kwapa (pia linajulikana kama boil au furuncle kwenye kiingereza) ni uvimbe wenye uchungu, unaojazwa na usaha (pus), ambao hutokea kwenye eneo la kwapa. Eneo hili huwa na nywele nyingi, tezi za jasho na unyevu mwingi, hivyo linakuwa mahali pa kawaida pa maambukizi ya bakteria. Jipu moja linaitwa furuncle, wakati majipu mengi yanayoungana yanaitwa…

Read More